KIDS LAPTOP PC - OLPC

  • 185,000.00 TZS
    Unit price per 


OLPC Learning Laptop - Ni KIDS LAPTOPS imara na za kipekee zenye masomo, games na videos tafauti kwa ajili ya kumjenga mtoto wako na kumfanya awe na furaha muda wote

✅ Zinatumia mfumo wa Kisasa Android
✅ Touch screen
✅ Masomo ya Nursary, Primary na O level
✅ Material Imara sana Ngumu kuvunjika
✅ Mtoto kuanzia miaka 2-14
✅ Zipo Games na Cartoon kibao
✅ Youtube Kids, Zoom Touch
✅ Foldable design unaweza kutumia kwa muonekano wa Tablets au Laptop kawaida
✅ HardDisk 8GB, Ram 1GB
✅ Inasehemu ya USB ports 2, HDMI, Card reader
✅ Internet kwa WiFi, Hotspot au Modem
✅ Earphone na Microphone hole

Bei ya Offer - 185000/=✔️
Bei ya Zamani - 255000/=❌

📞0712888884 📍KinondoniStudio

#FreeDelivery in Dar es Salaam Town Areas