GT3 MAX SMART WATCH
GT3 MAX SMARTWATCH ni moja ya smartwatch ambayo imeboreshwa vitu vingi sanaa kuanzia Package yake, display yake ,material ziilizotumika pia na mfumo wa kuchajia ni wa kisasa zaidi.
Hizi hapa chini ni sifa zake nyengine
✅ Display 1.45 inch IPS LCD
✅ Internal storage 128 MB
✅ 200 mAh battery 5 days battery
✅ G-sensor, heart rate sensor,
✅ Unaweza kuunganisha na smartphone yoyote (Ios & android)
✅ Inakuja na mikanda 3( Chuma ,ngozi na silicon
✅ Wireless charging ( sio rahisi kuharibika)
✅ Unaweza kupiga na kupokea baada ya kuunganisha na simu
✅ Voice assistance (siri,google assistant )
✅ Sport mode (pedometer,treadmill etc
✅ Multifunctional NFC
✅ Inapokea na kuonesha notification zote za simu kama sms whatsapp au kawaida
✅ Stainless steel
✅Bluetooth 5.2
✅ Waterproof IP69
✅ HD screen display
Smartwatch hii inaweza kuvaliwa au kutumiwa na jinsia zote na bado ikawa na muonekano maridhawa kabisa
☎ 0712888884 📍Kinondoni Studio | Kkoo Infinix Tower